Je, matumizi ya mguu yanaweza kuthibitisha kuwa mtoto ni wa baba fulani?

not

Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
62
Reaction score
25
Habari za asbh wataalamu wangu wa mambo ya kisayansi.
Bila kupoteza muda naoma kuweka mada yangu(swali langu) kwenu, liko hivi:

-Kama baba ni mchezaji wa mpira wa miguu namba kumi na moja(11) kwa sifa yake ya kutumia mguu wa KUSHOTO. Mwanae pia anatumia mguu wa KUSHOTO kama babake. Je kuna uhusiano akawa mwanae kweli?? Kwa hyo sifa ya mtoto kurithi mguu wa babake???

-Apart from DNA je matumizi ya kufanana ya miguu inaweza kuprove kwamba mtoto yule ni baba yule wanayefananisha miguu ya kushoto???
 
Kwahiyo kwenye post yangu umeona neno hilo tu?
Huna hoja weww kalale huko. Kwann usikae kimyaa kama huwez pambanua mambo. Watu kama wewe[emoji123]
 
Brow mbona povu akili yako ni ndogo kama Asprin jina lako huna upeo wa kufikiria
Acha kiherehere. Mi namuuliza mwingine we inakuhusu nini kunijibu? Hiki kiherehere, we unaimba taarabu?
 
Umeanza kumtilia shaka mshua Muulize Mama yy ndo anajua acha kupoteza muda na miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…