Je, Mawaziri nao hulipwa mishahara na posho za ubunge au wao wana mishahara tofauti?

Je, Mawaziri nao hulipwa mishahara na posho za ubunge au wao wana mishahara tofauti?

yap. si wabunge pia. maana wanakaim nafasi mbili za ubunge na uwaziri
Kwa maana hiyo wakikamata ile 11 million bado na kwenye Uwaziri wanakamata kitu tena! Je ya Uwaziri ni bei gani vile?
 
Mshahara kama mshahara wa mbunge haufiki 5M, fedha nyingi zinaitwa posho(8M) iliwasikatwe kodi mkuu, zimefichwa huko sababu posho haikatwi kodi
Kwa hiyo tukichukua mshahara wa Mbunge let say 5m + 2m ndiyo unakuwa mshahara wa Waziri?
 
Back
Top Bottom