Je, Mayai ya kuchemsha yananenepesha?

Je, Mayai ya kuchemsha yananenepesha?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habari wadau

Ndugu yenu nipo kwenye diet ili nipunguze unene sasa kwa mujibu wa watu ili nikonde wameniambia inabid nisle vyakula vya mafuta, chumvi, sukari, protini na wanga yani vitu km karanga, soda, biskuti, chocolate nk siwez kuiviorodhesha vyote apo ili mradi kisiwe na ingridient ya vitu tajwa apo juu na badala yake nile vitu kam matunda maji nk

sasa naomba kuuliza maziwa fresh au mtind nisipoweka sukar yananenepesha?

Je, mayai ya kuchemsha nisipoweka chumvi yananenepesha?
 
Habar wadau

Ndugu yenu nipo kwenye diet ili nipunguze unene sasa kwa mujibu wa watu ili nikonde wameniambia inabid nisle vyakula vya mafuta,chumvi,sukar,[rptein na wanga yani vitu km karanga,soda,biskuti.chocolate nk siwez kuiviorodhesha vyote apo ili mradi kisiwe na ingridient ya vitu tajwa apo juu na badala yake nile vitu km matunda maji nk

sasa naomba kuuliza maziwa fresh au mtind nisipoweka sukar yananenepesha ?
je mayai ya kuchemsha nisipoweka chumvi yananene[esha ?
Usiguse SUKARI kabisa nasisitiza usiguse ndani ya mwezi mmoja iwe kwenye chai soda au juice acha sukari...usiguse chakula chochote kilokaangwa kwenye mafuta mengi, kula protini Kwa wingi ikiwemo mayai, karanga n.k. hii itakufanya ujiskie umeshiba muda mwingi hivo utaepuka kutafuna tafuna hovyo......hakikisha unatembea hatua 10000 Kila siku, ni kama six kilometre hivi. Kunywa maji mengi. Fanya hivi mwezi mmoja utapungua more than 15 kg. Kama hutaweza endelea na lifestyle unayoishi yakukute ya kukukuta.,
 
Mayai hayana carbs, yana protein nyingi lak shida yake pia yana cholestrol kwa kias kikubwa. So, hayanenepeshi, na ni a good source of protein lakn inashauriwa kula at least 2 tu kwa siku kwa sababu cholestrol ikiwa juu sana sio nzuri kwa moyo
 
Karanga zina mafuta vitu km kashata ndio kabisa kuna sukar ba karanga ivo kwenye karanga bro umezingua ila apo kwenye mayai ya kuchemsha mmh na maziwa kizungumkuti
 
It is simpler usipokula kabisa. Funga masaa 48-72 then kula hayo matunda yako kidogo ila usile yenye sukari/wanga then funga tena.

Kwa wiki kula milo mitatu maximum minne.
matinda gan yana sukari miwa au ?
 
Mayai hayana carbs, yana protein nyingi lak shida yake pia yana cholestrol kwa kias kikubwa. So, hayanenepeshi, na ni a good source of protein lakn inashauriwa kula at least 2 tu kwa siku kwa sababu cholestrol ikiwa juu sana sio nzuri kwa moyo
bro asante kwa maelezo yalioenda shule inaonekana una utaalamu namambo ya chakula hv protein inanenepesha
 
daa kujikondesha hasa bila sababu ni kazi kubwa mnoo,
unaweza kushauriwa dieting kumbe hiyohiyo ndo inakunenepesha zaidi.

Katika hali hiyo fanya kitu cha hatari,nakwambia fanya kitu moja ya hatari utakuja kunishukuru,
Mfano chukua mkopo mkubwa nunua boda/gari used na liweke/yaweke barabarani kisha wape vijana wambie wafanye marejesho;

matokeo:1.no marejesho.
2.utaingilia hadi kipato chako kufanya service.
3.utakuwa busy.
4.kipato kitashuka hivyo utabana hela na kuanza kutembea.
5.mawazo juu ya mkopo,na ni mawazo haswaa!!
6.utakosa hamu ya kula-utakula tu basi ili usife!
n.k n.k
 
Mwana Simba baada ya kula Mayai ya kuchemsha👇😁😁😁
wAAGxsx.jpeg
 
Kila siku asubuhi na jioni kunywa maji ya vuguvugu ambayo ni juisi ya limao na tangawizi ( glass moja asubuhi na moja jioni) kitambi kitayeyuka kama
Nta kwenye moto

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
daa kujikondesha hasa bila sababu ni kazi kubwa mnoo,
unaweza kushauriwa dieting kumbe hiyohiyo ndo inakunenepesha zaidi.

Katika hali hiyo fanya kitu cha hatari,nakwambia fanya kitu moja ya hatari utakuja kunishukuru,
Mfano chukua mkopo mkubwa nunua boda/gari used na liweke/yaweke barabarani kisha wape vijana wambie wafanye marejesho;

matokeo:1.no marejesho.
2.utaingilia hadi kipato chako kufanya service.
3.utakuwa busy.
4.kipato kitashuka hivyo utabana hela na kuanza kutembea.
5.mawazo juu ya mkopo,na ni mawazo haswaa!!
6.utakosa hamu ya kula-utakula tu basi ili usife!
n.k n.k
si uende hospital wakuchome sindano za typhoi au TB ikiwezekana kipindupindu ukonde ubaki mbavu mbili kisha wakutibu io ya kukopa benk NOOOOO utafia baa kwa kunywa mipombe
 
Kila siku asubuhi na jioni kunywa maji ya vuguvugu ambayo ni juisi ya limao na tangawizi ( glass moja asubuhi na moja jioni) kitambi kitayeyuka kama
Nta kwenye moto

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kunywa maji tu lazima tumbo lichafuke na utatapika na kuharisha ivo ili ukonde kwa furaha lazima ule natunda nk
 
Vitu navyopenda maziwa ,mayai huwa najizuia najifanya siyaoni kabisa nakula mara moja ,naonaga kwenye diet pia wanakula mayai sasa sielewi

Kinachonenepesha Kwa haraka ni vyakula vya Wanga.
Protein sio Sana.
Maziwa, nyama, Samaki, maziwa havinenepeshi kwa haraka.
Wanga ndio inanenepesha Kwa haraka.

Wali, ugali, mihogo, ngano,
Bia na Aina zote za pombe zinazozalishwa na ngano pamoja na nafaka
 
Usiguse SUKARI kabisa nasisitiza usiguse ndani ya mwezi mmoja iwe kwenye chai soda au juice acha sukari...usiguse chakula chochote kilokaangwa kwenye mafuta mengi, kula protini Kwa wingi ikiwemo mayai, karanga n.k. hii itakufanya ujiskie umeshiba muda mwingi hivo utaepuka kutafuna tafuna hovyo......hakikisha unatembea hatua 10000 Kila siku, ni kama six kilometre hivi. Kunywa maji mengi. Fanya hivi mwezi mmoja utapungua more than 15 kg. Kama hutaweza endelea na lifestyle unayoishi yakukute ya kukukuta.,
Huo mchanganuo hata wenye sukari inawafaa waufuate
 
Mayai hayana carbs, yana protein nyingi lak shida yake pia yana cholestrol kwa kias kikubwa. So, hayanenepeshi, na ni a good source of protein lakn inashauriwa kula at least 2 tu kwa siku kwa sababu cholestrol ikiwa juu sana sio nzuri kwa moyo
Yaani at least three per week na at most ma nne per week
 
Back
Top Bottom