Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nimeshangaa sanaMtu anabishana na mhusika utamweka kwenye group gani?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Narudia tena, siasa za mpira wa bongo huzijuiKwenye hio interview anae ongea ni Mayele sio msemaji wa timu wala mchambuzi kwanini tukatae kuamini maneno ya mhusika mwenyewe?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Haya yote tunayaangalia kwenye financial statement ,uongo na ukweli utaonekana hapo,mapato ya kuuzwa wachezaji tutayaona tatizo watu wanasahau .Ukweli wote huu hapa kaongea mwenyewe siongezi neno wala sipunguzi neno
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Haya Luc Eymael pia
Financial statements za msimu upi?Haya yote tunayaangalia kwenye financial statement ,uongo na ukweli utaonekana hapo,mapato ya kuuzwa wachezaji tutayaona tatizo watu wanasahau .
msimu wa 2023-2024 kama Kuna mauzo ya wachezaji lazima yaonekane yasipoonekana ni sarakasi na kufurahisha mashabiki
Mda utaongeamsimu wa 2023-2024 kama Kuna mauzo ya wachezaji lazima yaonekane yasipoonekana ni sarakasi na kufurahisha mashabiki
Mbona Kisinda na Chiko Ushindi taarifa zao za mkopo zilikua wazi au ulikua jela kipindi hicho?Nasubiri mapato na matumizi ya klabu ya mwaka 23/24 kwenye mauzo ya wachezaji. Wameuza bangala 100m na ya mayele yatajulikana.
sijui kwanini yanga huwa kusema Mchezaji Yuko kwa mkopo hawataki kabisa. Ila kudanganywa kuwa Nabi alisaini miaka miwili hadi 2024 wamekaa kimya [emoji23][emoji23]
Yaani Mayele acheze Yanga kwa mkopo halafu ifanye maamuzi ya kujipangia kumuuza au kutomuuza then ikaona bora imuuze? Vichaa wa Rage tu ndo wataamini huu ujingaNasubiri mapato na matumizi ya klabu ya mwaka 23/24 kwenye mauzo ya wachezaji. Wameuza bangala 100m na ya mayele yatajulikana.
sijui kwanini yanga huwa kusema Mchezaji Yuko kwa mkopo hawataki kabisa. Ila kudanganywa kuwa Nabi alisaini miaka miwili hadi 2024 wamekaa kimya [emoji23][emoji23]
Sasa kwanini usisubiri taarifa ya club? Kuliko kujitoa ufahamu na kulazimisha kuwa Mayele alikuwa yanga kwa mkopo?msimu wa 2023-2024 kama Kuna mauzo ya wachezaji lazima yaonekane yasipoonekana ni sarakasi na kufurahisha mashabiki
Kuna li mbumbumbu pro SAYVILLE limekaza shingo Mayele alikua kwa mkopo, baada ya hii clip limekaa kimyaSasa kwanini usisubiri taarifa ya club? Kuliko kujitoa ufahamu na kulazimisha kuwa Mayele alikuwa yanga kwa mkopo?