Je, Mayele alikuwa Yanga kwa mkopo au kwa mkataba?

Nasubiri mapato na matumizi ya klabu ya mwaka 23/24 kwenye mauzo ya wachezaji. Wameuza bangala 100m na ya mayele yatajulikana.

sijui kwanini yanga huwa kusema Mchezaji Yuko kwa mkopo hawataki kabisa. Ila kudanganywa kuwa Nabi alisaini miaka miwili hadi 2024 wamekaa kimya [emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: Tui

Mbona Kisinda na Chiko Ushindi taarifa zao za mkopo zilikua wazi au ulikua jela kipindi hicho?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kasome kwanza sheria zinasemaje kwenye mkopo ukielewa utafuta huu Uzi maana utakuwa umeelewa
 
Nasubiri mapato na matumizi ya klabu ya mwaka 23/24 kwenye mauzo ya wachezaji. Wameuza bangala 100m na ya mayele yatajulikana.

sijui kwanini yanga huwa kusema Mchezaji Yuko kwa mkopo hawataki kabisa. Ila kudanganywa kuwa Nabi alisaini miaka miwili hadi 2024 wamekaa kimya [emoji23][emoji23]
Yaani Mayele acheze Yanga kwa mkopo halafu ifanye maamuzi ya kujipangia kumuuza au kutomuuza then ikaona bora imuuze? Vichaa wa Rage tu ndo wataamini huu ujinga
 
msimu wa 2023-2024 kama Kuna mauzo ya wachezaji lazima yaonekane yasipoonekana ni sarakasi na kufurahisha mashabiki
Sasa kwanini usisubiri taarifa ya club? Kuliko kujitoa ufahamu na kulazimisha kuwa Mayele alikuwa yanga kwa mkopo?
 
Back
Top Bottom