Je, maziwa ya mama huharibu dawa?

Je, maziwa ya mama huharibu dawa?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Watalamu wa hizi kazi msaada tafadhali.

Nimekuwa nikijiuliza swali hili muda mwingi sana ila sipati jibu.

Imekuwa ni kawaida mtu kukatazwa kunywa maziwa pale tu pindi amezapo dawa kwakuwa huaminika kuwa maziwa huharibu dawa.

Sasa swali langu ni je,mtoto anaenyonya akipewa dawa hairuhusiwi kunyonyeshwa maziwa au mimi tu ndiyo sielewi?[emoji120]
 
Ni mtoto anaenyonya kweli ndo anaekunywa dawa. Isijekua ni baba wa mtoto.

Enewei wanasema maziwa hayazuii dawa kufanya kazi.

Hata hivyo mtoto chakula chake kikuu ni maziwa ya mama (mtoto chizi ya miezi 6) how comes umpe dawa bila chakula?
 
Dah we jamaa umenichekesha sana 🤣🤣
 
Watalamu wa hizi kazi msaada tafadhali.

Nimekuwa nikijiuliza swali hili muda mwingi sana ila sipati jibu.

Imekuwa ni kawaida mtu kukatazwa kunywa maziwa pale tu pindi amezapo dawa kwakuwa huaminika kuwa maziwa huharibu dawa.

Sasa swali langu ni je,mtoto anaenyonya akipewa dawa hairuhusiwi kunyonyeshwa maziwa au mimi tu ndiyo sielewi?[emoji120]
Kwa mtoto maziwa ya Mama yake hayaharibu Dawa!
 
We sema tu, kwani maziwa ya mama wa mtu sio maziwa? 😂🤣
Nimezungumzia watoto kwa sababu Kweli maziwa haharibu baadhi ya dawa ila miongoni mwa hizo si dawa wanazitumia sana watoto kwa hiyo ni kama haiharibu dawa..

Dawa baadhi zinazoharibiwa na maziwa ni kama Tetracycline na Ciprofloxacin na aina zingine za broad spectrum antibiotic zingine japo karibia zote ni dawa ambazo mtoto chini ya mwaka mmoja au miaka 2 ni vigumu sana kupewa
 
Nashukuru dr.
 
Sasa Tabu mnawamalizia watoto chakula chao 🤣🤣
Sisi hatumalizii chakula chao ila wao ndio wanatuharibia starehe zetu, haiwezekanj umkule mama yake bila kunyonya nido au mate.. Mzuka unapunguwa kidogo😂🤣🤣
Unaweza kujikaza ila kuna muda akiukalia nido hii hapa inatikisika inakutia mshawasha kuutia mdomoni, tunajikaza saana tusichezee chakula yao.. 😂🤣
 
Watalamu wa hizi kazi msaada tafadhali.

Nimekuwa nikijiuliza swali hili muda mwingi sana ila sipati jibu.

Imekuwa ni kawaida mtu kukatazwa kunywa maziwa pale tu pindi amezapo dawa kwakuwa huaminika kuwa maziwa huharibu dawa.

Sasa swali langu ni je,mtoto anaenyonya akipewa dawa hairuhusiwi kunyonyeshwa maziwa au mimi tu ndiyo sielewi?[emoji120]
Habari!
Ili kujibu vyema swali lako, ni vyema kuelewa kuwa maziwa ya mama ni sawa na maziwa mengine ila yanazidiana au kupungua kwa vitu vichache.

Kinacholeta shida kwenye maziwa ni muunganiko wa madini kama Calcium na Magnesium kwenda kwenye viambata vilivyoko kwenye dawa husika.

Uhusiano wa maziwa na dawa:
1: kuna dawa ambazo ukitumia, unahimizwa kutumia maziwa ili ziweze kufyonzwa vyema na hatimae kufanya kazi vyema.

2: kuna dawa ambazo haziathiriwi kwa chochote na maziwa.

2: kuna aina ya dawa ambazo ukinywa maziwa au ukinywa dawa husika, inakubidi usubiri kati ya saa 2 au zaidi ndo kingine kifuate. Hii hutokana na maziwa kutengeneza muunganiko ambao mwili hushindwa kufyonza. Dawa hizi ni kama tetracycline, doxycycline, and ciprofloxacin nk.

Kwa ujumla dawa hizi hazitolewi kwa watoto wachanga. Ndiyo maana haya masharti hauyasikii sana kwa watoto.

NB: Ni wajibu wa mtoa huduma ya afya kukueleza haya kulingana na dawa alizokupatia, ingawa wakati mwingine ni muhimu kuuliza pia mahusiano haya kwa dawa alizopewa mtoto au mtu mzima.

Na hapa ndo tunasema, usikimbilie kumpa mtu aliyekunywa sumu maziwa. Kama sumu husika inayeyuka vyema kwenye maziwa basi utammaliza kwa simu kuyeyuka vizuri na kwenda mwilini.
 
Back
Top Bottom