Je mazoezi haya nayofanya hayawezi kuniletea madhara kiafya?

Je mazoezi haya nayofanya hayawezi kuniletea madhara kiafya?

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
3,482
Reaction score
4,673
Hi!

Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now,

Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo,

Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya.

Sasa squat sasaivi napiga uzito hadi Kg.150, Mimi mwenyewe nna Kg.80 urefu cm160.

Je, Wataalamu haiwezi leta madhara yoyote maybe?

Mwandiko mbaya kumradhi
 
Back
Top Bottom