dotto simon
New Member
- Feb 9, 2023
- 2
- 1
Fanyà aerobic au cardio box ndan ya wk moja mabadlko makubwa ila ubalance misos
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazoezi hayana umri we mzee!, unafanya mazoezi kulingana na umri wako! familia na miradi itasimamiwa vyema na mwili ulio timamu....Angalia na umri wako, miaka inaenda. Mazoezi/six pack hayatakusaidia chochote. Miaka hiyo kumi ungekuwa serious na kusimamia mradi wako wowote ungekuwa uko mbali. Mambo ya mazoezi ni mambo ya ujana na utoto. Pambana uwe na vitu vyako ili uweze kuwa na familia bora. Kama hutaki endelea tu kupoteza muda kwenye ma-gym.
We huna akili,Angalia na umri wako, miaka inaenda. Mazoezi/six pack hayatakusaidia chochote. Miaka hiyo kumi ungekuwa serious na kusimamia mradi wako wowote ungekuwa uko mbali. Mambo ya mazoezi ni mambo ya ujana na utoto. Pambana uwe na vitu vyako ili uweze kuwa na familia bora. Kama hutaki endelea tu kupoteza muda kwenye ma-gym.
Mpuuzi huyoMazoezi hayana umri we mzee!, unafanya mazoezi kulingana na umri wako! familia na miradi itasimamiwa vyema na mwili ulio timamu....
Yaah Ugali na Wali huongeza uzito.Kweli mkuu,japo nipo fiti ila itabidi nipunguze uzito wa mwili, tatizo nakula sana,
😳🙄 yaan ni balaa....kabinukajeeSquat kama ile ya yule msouth kule instagram mwenye wowowo?.
Ana wafuasi kama wote...na mibaba ipo mule inataka kubinuka kama yy..dunia imeisha...😳🙄 yaan ni balaa....kabinukajee
160 kwa 80 amegawa wastani kwa idadi ya kilo zake.Kimo chako na uzito wako naona kama haviendani,utajisababishia magonjwa, BMI yako iko juu means upo na obesity,punguza kula bro[emoji16]