Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Sasa squats si ndo mazoezi ya miguu, jf watu wajuaji sanaSquats!!!!, hayo ni mazoezi ya wadada wanaume tunapiga kifua, mkono na mguu.
for self defence na mazoezi ya miguu na kiuno. kweli?Sasa squats si ndo mazoezi ya miguu, jf watu wajuaji sana
Squats ni zoezi la kishundu wewe.Sasa squats si ndo mazoezi ya miguu, jf watu wajuaji sana
Kweli nakula mnoKimo chako na uzito wako naona kama haviendani,utajisababishia magonjwa,BMI yako iko juu means upo na obesity,punguza kula bro[emoji16]
Bado uko shallow sana kijana, not worth my timeSquats ni zoezi la kishundu wewe.
Mi napiga vyote, mkono huwa napiga kg 40 au kg30 tryceps na bieceps ,sholder kg50Squats!!!!, hayo ni mazoezi ya wadada wanaume tunapiga kifua, mkono na mguu.
Nikweli, mvua hii tunapoteza time mkuuNaona unabandika Uzi Kila baada ya dk kumi mkuu.
Hahahaha mazoezi kama mazoeziMazoezi Muhimu ila Nawakaribisha Tupoze mwili jamani Machungu ya Wiki Nzima..
Karibuni na mimi mazoezi yangu haya
View attachment 2968471
Watu watafute Hela Wafanye mazoezi 🤣🤣Hahahaha mazoezi kama mazoezi
MaridadiMazoezi Muhimu ila Nawakaribisha Tupoze mwili jamani Machungu ya Wiki Nzima..
Karibuni na mimi mazoezi yangu haya
Achane Mazoezi ya kuumiza mwili Tafuteni pesa
View attachment 2968471
CC: BICHWA KOMWE -