Polepole juzjuz hapa kaitisha press conference kupiga kelele kuhusu lisu unasema wapo kimya, hawawez kukaa kimya kwa mgombea aina ya lisu kwani wanajua kufanya hivyo hawatafikisha 20% ya kura mwaka huu.Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa...
MATAGA wamepigwa bumbuwazi ndugu, wala si kukaa kimya eti kimkakati. wamechanganyikiwa kwa jinsi Lissu anavyotoa majibu ya tambo zao za miaka 5.Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa.
Mfano, kupitia TASAF, Sasa hivi majina yameongezwa, haijalishi unakipato gani, ukiwa na umri kuanzia miaka 50 unapewa pesa kupitia TASAF, ndivyo khari ilivyo. Siyo tu hivyo, Kuna mbinu Kali zimepangwa ndani na nje ya chama Cha Mapinduzi, kupitia mgongo wa Serikali...
We kilaza kweli,tasaf ipo mda mrefu haijaanza leoNipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa...
Wakubali yaisheCCM yakubali tu kuwa Yamekanyaga ulezi kwenye tiles
Ilikuwa ikitumika kusaidia wananchi kwa lengo la kuinua uchumi wao lakini kwa sasa inalenga kukipa chama kura. WameshachelewaWe kilaza kweli,tasaf ipo mda mrefu haijaanza leo
Hahaha...shuleni mlienda kusomea ujinga? kweli iwe ni Uraia katika shule za msingi, Civics kwa O level na GS kwa A level nilisoma aina mbili tu za maendeleo, Personal na National development, hiyo yenu ya maendeleo ya vitu haipo, hao mabwana zenu wamewaingiza chaka.Hawana cha kujibu kwani miaka yote mitano wameitumia kufanya maendeleo ya vitu na si watu hivyo cha kuwaambia watu hawana na badala yake wanajibu kwa kutumia vyombo vya dola.
Hivyo vitu ndio vitawapigia kura.Hahaha...shuleni mlienda kusomea ujinga? kweli iwe ni Uraia katika shule za msingi, Civics kwa O level na GS kwa A level nilisoma aina mbili tu za maendeleo, Personal na National development, hiyo yenu ya maendeleo ya vitu haipo, hao mabwana zenu wamewaingiza chaka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... mtafurahi mwaka huu.Hivyo vitu ndio vitawapigia jura.