Je, mbinu inayotumiwa na CCM kwa kipindi hiki ya kukaa kimya itakisaidia chama hicho?

Kila siku tunasikiliza madaraja, sgr, reli. Manina tumewachoka. mmekuwa machoko
hawana jipya si ajabu kuwaambia watu wa tarime,chunya au karatu tumejenga flyover,sgr,huko inabidi waaende na kamusi kabisa wawape shule sgr,flyover ndio mdudu gani ili wapate kura zao.
 
kipi wataongea zaidi ya sgr,mabeberu,ndege kwa cash,flyover wakaeleweka
 
Hii kitu nimeikuta maeneo Fulani ya mbali Dana nanilipo leo. Vikao vya kuangalia wanufaika wawe watu gani vilikuwa vina ratibiwa.
 
Ali wa Nkasi ana tuhuma ya kumwaga rushwa kuliko mgombea yeyote wa CCM kwa hiyo anasubiria majaliwa yake.
 
Ngoma ya watoto haipigi ikakesha. TL na mgombea mwenza ni watoto. CCM inaheshimu sheria. Kampeni zinaanza tarehe 28/08. Huyu anayejiita mwanasheria tayari yuko barabarani kwenye kampeni, na CCM na serikali inawaona. Subiri mziki ukianza ujue CCM ni makini.
 
Unajua kanuni za NEC kutafuta wadhamini?
 
Ndio hapo chacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…