Je, Mbinu za Mourinho zimezeeka?

Je, Mbinu za Mourinho zimezeeka?

mwanakaya

Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
56
Reaction score
183
Wanaspoti nawasalimu!

Jana nimeangalia kwa makini mechi ya pili ya Ligi kuu nchini Uingereza kati ya BHA na Manchester United ambapo Manchester ilipoteza mchezo kwa magoli mawili kwa matatu.

Pamoja na kwamba ndio kwanza msimu unaanza na inaweza kuwa sio sahihi sana kuhitimisha kwamba Manchester United Itafanya vibaya lakini pia kwamba mbinu za Mourinyo kwa misimu yake mitatu zimeendelea kuwa zile zile.

Msimu uliopita BHA waliifunga Man Utd mchezo mmoja na kutoa sare mchezo wa pili. Nilitegemea kwamba Mou angekuja mbinu bora za kuikabili timu hii kwa kuwa tena alifungwa mchezo wa mwisho wa msimu uliopita lkn inaonekana hakujifunza.

Msimu huu Jose anaonekana kulalamikia sana Bodi ya timu japo kila msimu amekuwa akipewa fungu la kufanya usajili. Kwa mfano msimu huu amepewa hela akasajili mabeki wawili (Eric Baily & Victor Lindelof) ambao katika mchezo wa jana walifanya makosa yaliyopelekea kupoteza mchezo.

Tujadili hapa, shida ya Man U ni nini? Mou mbinu zake zimekuwa outdated au makocha wengine wamezijua mbinu zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu zake zimekuwa outdated pia siku hizi amezidi kuwa na mahusiano mabovu na wachezaji wake mara kwa mara. Hivyo hata kuhujumiwa ni rahisi.
 
Mourinho ajipe likizo hta ya misimu miwili ili kulifresh kidogo ili aje na mbinu mpya za kumrudisha kwenye chati vinginevyo soon ataanza kufundisha timu za taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ndio kinachofuata. Sidhani kama Mou anaweza akawa amebakiza mbinu za kushidana na makocha wa aina ya Pep, Klopp na Pochetino

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mourinho mwehu kama wehu wengine! Pale tuliingia chaka sema ndio hivo, tunajifariji siku hadi siku!
tumeandika sana humu kuhusu morinho , kocha mbovu anayetegemea hela za usajili tu
 
Mourinho atoke tu atuachie team yetu na mfumo wake ambao haueleweki
 
Back
Top Bottom