Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
MboweMbowe amemaanisha yupo serious kwenye vita take na Chadema, kuwapora wanachama na viongozi kadhaa, kumfungulia kesi kwa msajili was vyama na kuna kesi nyingine pia imefunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wake upande was Zanzibar
He Mbowe atatumia mbinu gani (akisaidiwa na dola) kuipora Chadema Mali zake yakiwemo majengo kadhaa kama LA makao makuu lililopo mikocheni pamoja na ofisi nyinginezo au atawaachia?
Tuliona CuF ya Lipumba ilivyoingia kwenye mgogoro was kugombania Mali na ACT wazalendo, he haya yatatokea kati ya Chadema na Chaumma?
Uwezekano mkubwa ni la chama maana walisema kuwa walitumia ruzuku yao kulinunua. Hawezi kuwanyang'anya. Hio sio hulka yake.Kama ni jengo la chama hawezi, kama si la chama ni lake akae chini na mwenyekiti wakubaliane.
Na wamepiga " One Love". Wachokozi sana.Watahamia ufipa, habari kubwa kwenye siasa za TZ saivi ni CHAUMMA WAKUNJA NGUMI, wanaharakati uchwara wamepaniki wanabaki kutukana watu
UBAYA UBWELA mkuu😆😆Na wamepiga " One Love". Wachokozi sana.
Amandla...
That's it mkuu!Never trust politician trust only your self
Uko sahihi sana. Tusubiri tuone maana wengi wetu hatuujui ukweli kuhusu hizo mali.Kama ni malizake binasi chama kimrudishie, na kama ni majengo ya chama basi anapaswa atulie
Hapo hakuna cha kukubaliana ni anachukia jengo lake kwa matusi anayotukanwa mbowe kika siku na watu aliyewabeba lazima afanye hivyoKama ni jengo la chama hawezi, kama si la chama ni lake akae chini na mwenyekiti wakubaliane.