KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
BAVICHA GANI HII?Kinyongo siyo!! Ukishaitwa jabari la Siasa ni two way traffic, ukubali na kushindwa.
Pumzika siasa, ila ukithibutu kwenda CHAUMA kuungana na wale wahuni - umekwisha!!
Vijana wako wa Bavicha wanakusubiri kwa hamu - usije ukalia kwamba wanakukosea adabu.
YAANI MWENYEKITI WENU KAKAMATWA KATIKATI YA BAVICHA KANDA NZIMA HAMKUFANYA KITU, LEO MBOWE AENDE CHAUMA MMFUATE KUMKOSEA HESHIMA?
NI BAVICHA AU BAA YA VICHAA?