Je, Mbowe ataipora Chadema jengo lake la makao makuu Mikocheni?

kama Mbowe ana haki zake achukue mali zake

kama sio mali zake ni zao,awaachie mali zao

ila kama ni mali ya zake yeye kama yeye...achukue wampatieeeee

namuunga mkono ilimradi isiwe ni mali ya wizi au sio haki yake

chadema ijifunze kukaa na watu vizuri
 
Mbowe hawezi kufanya hivyo
 
Jengo la mbowe lile

Chadema pale walipigwa
 
Kwahiyo 🍆we alikuwa anasubiri kuwa wa mwisho kuhamia.. tehetehe
 
Kwa vile dola iko nyuma yake anaweza, kama dola ilivyomsaidia Lipumba kumng'o Maalim Seif.
 
Swala la uchaguzi lilikuwa linapima umoja na maturity ya chama, ili nikitizama mpaka sasa still bado kuna mnyukano na Mbowe nae anaweza akatoka.
 
Inategemea kama jengo na mali pesa zilikopwa na yeye binafsi na mali zake akawa ndie aliweka dhamana mali zake kwenye hiyo mikopo .Jengo na mali zaweza hamia kwenye umiliki binafsi ili aendelee kulipa deni .wakikataa litaenda mnadani kuuzwa na wadai na atalinunua yeye au kutumia proxies
 
Hapo hakuna cha kukubaliana ni anachukia jengo lake kwa matusi anayotukanwa mbowe kika siku na watu aliyewabeba lazima afanye hivyo
Achukuwe
Mbona Mali za Urithi wa Mzee Mbowe kadhulumu nduguze na Bado anapuyanga
 
Weka clear hapo ni mali zake binafsi au ni mali za chadema?
 
Mbowe hana njaa kama wale kina Lusungo wa G-55
 
Mtu akichukua mali yake hawezi kuwa mporaji.

Tutaandaa uasi ndani ya chama, tutakusanya vijana kama 5000 au 10,000 wakavamie makao makuu na kuwafukuza waliomo
Kwanini msitumie tu jeshi la polisi?
 
Mwekezaji wa siasa🤣🤣🤣siasa za utapeli zilikoma siku ya January 21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…