Kinyongo siyo!! Ukishaitwa jabari la Siasa ni two way traffic, ukubali na kushindwa.
Pumzika siasa, ila ukithibutu kwenda CHAUMA kuungana na wale wahuni - umekwisha!!
Vijana wako wa Bavicha wanakusubiri kwa hamu - usije ukalia kwamba wanakukosea adabu.