Je, Mbowe kumtembelea Lissu magereza kuna tafsiri gani?

Je, Mbowe kumtembelea Lissu magereza kuna tafsiri gani?

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,474
Reaction score
4,007
Wana Jamnvi

Ni miezi kadhaa sasa bila ya Mbowe kuonekana kwenye vikao vyovyote vile vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, pia Lissu alipo fikishwa Mahakamani hajaonekana ila siku ya leo aliongozana na wastaafu wengine wa chama kwenda kumuona private huko Magereza tukizingatia siku maalum ya kuwaona maabusu Magereza ni Juma Mosi na Juma Pili.

Soma Pia: Mbowe amjulia hali Tundu Lissu, Wateta kwa saa moja Gerezani

Je kuna mazungumzo yanayo endana na majadiliano kuhusu kesi inayo mkabili Lissu au na je baada ya kukutana Magereza ikitokea Lissu ameachiwa huru je, ataanza kuhudhuria vikao kama Mwenye kiti mstaafu kwa mujibu wa Katiba ya Chadema.
 
Ni matumaini yangu Mbowe na Lissu ni wamoja pamoja na haya yanayoendelea kwenye mitandao ya Kijamii

Hawajawahi kukosana kiasi cha kugeuka maadui

Lissu amewahi kumtembelea Mbowe kipindi kile cha sakata la ugaidi, vivyo hivyo busara imemtuma Mbowe kumtembelea Lissu wakati huu

Mkiendelea kuyakuza haya ya Mitandao, mnaweza kuhisi hao watu ni maadui

Kumbukeni Kuna watu wamesomea Siasa, hayo mnayoyaona Kuna watu walikaa na kuyafanya yawe hivyo tunavyoyaona
 
atakuwa katumwa na abdul, hakwenda na wenje kweli?
 
Wana Jamnvi

Ni miezi kadhaa sasa bila ya Mbowe kuonekana kwenye vikao vyovyote vile vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, pia Lissu alipo fikishwa Mahakamani hajaonekana ila siku ya leo aliongozana na wastaafu wengine wa chama kwenda kumuona private huko Magereza tukizingatia siku maalum ya kuwaona maabusu Magereza ni Juma Mosi na Juma Pili.

Soma Pia: Mbowe amjulia hali Tundu Lissu, Wateta kwa saa moja Gerezani

Je kuna mazungumzo yanayo endana na majadiliano kuhusu kesi inayo mkabili Lissu au na je baada ya kukutana Magereza ikitokea Lissu ameachiwa huru je, ataanza kuhudhuria vikao kama Mwenye kiti mstaafu kwa mujibu wa Katiba ya Chadema.
Actualy ni ku show umoja tu, wakati mbowe yupo gerezan lissu nae alimtembelea. Nothing bad
 
Kwa akili ya kibinadamu kwa sisi watanzania tunaweza tukahisi kuna ujumbe unao weza kuendana na swala la majadiliano kuona namna ya kumaliza swala hili ukizingatia limeshafika kwenye mataifa mengine hivyo kuchukua sura nyingine tofauti na ilivyo dhaniwa na kuwa na madhara kwa Rais aliyepo madarakani na serikali yake kwenye maswala ya demokrasia. Na rais hawezi kukubali afikiriwe vibaya na kupewa majina yasiyo. Ikumbukwe wasaidizi wa rais sio malaika wanaweza waka patia na kukosea pia.
 
Actualy ni ku show umoja tu, wakati mbowe yupo gerezan lissu nae alimtembelea. Nothing bad
Huo umoja ungeanzia Mahakamani siku alipo pandishwa kizimbani. Hao wastaafu wote walio ongozana magereza hakuna hata mmoja aliyefika mahakaman siku ya kesi
 
Tatizo ni wafuasi maandazi wa CHADEMA wanaotaka kila kitu Mbowe apost kama kina Yericko au Ntobi. Yule ni mtu mzima anayejielewa ambaye hawezi post hovyo kama kina Yericko.
 
Huo umoja ungeanzia Mahakamani siku alipo pandishwa kizimbani. Hao wastaafu wote walio ongozana magereza hakuna hata mmoja aliyefika mahakaman siku ya kesi
Hamna condition of mtu atembelewe at stage fulani ya matatizo. Anatembelewa muda wowote na haijalish stage gani, simple like that
 
Back
Top Bottom