Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Actualy ni ku show umoja tu, wakati mbowe yupo gerezan lissu nae alimtembelea. Nothing badWana Jamnvi
Ni miezi kadhaa sasa bila ya Mbowe kuonekana kwenye vikao vyovyote vile vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, pia Lissu alipo fikishwa Mahakamani hajaonekana ila siku ya leo aliongozana na wastaafu wengine wa chama kwenda kumuona private huko Magereza tukizingatia siku maalum ya kuwaona maabusu Magereza ni Juma Mosi na Juma Pili.
Soma Pia: Mbowe amjulia hali Tundu Lissu, Wateta kwa saa moja Gerezani
Je kuna mazungumzo yanayo endana na majadiliano kuhusu kesi inayo mkabili Lissu au na je baada ya kukutana Magereza ikitokea Lissu ameachiwa huru je, ataanza kuhudhuria vikao kama Mwenye kiti mstaafu kwa mujibu wa Katiba ya Chadema.
Huo umoja ungeanzia Mahakamani siku alipo pandishwa kizimbani. Hao wastaafu wote walio ongozana magereza hakuna hata mmoja aliyefika mahakaman siku ya kesiActualy ni ku show umoja tu, wakati mbowe yupo gerezan lissu nae alimtembelea. Nothing bad
Hamna condition of mtu atembelewe at stage fulani ya matatizo. Anatembelewa muda wowote na haijalish stage gani, simple like thatHuo umoja ungeanzia Mahakamani siku alipo pandishwa kizimbani. Hao wastaafu wote walio ongozana magereza hakuna hata mmoja aliyefika mahakaman siku ya kesi