Je Mbuga ya Burigi Chato ina umuhimu wowote au ni Mbwembwe tu?

Je Mbuga ya Burigi Chato ina umuhimu wowote au ni Mbwembwe tu?

Hili swala hili linahitaji mjadala mpana,kwa nini wanyama wakimbilie nchi jirani? na wahusika wanazidi kuwasomba wengine waendelee kukumbilia huko?
Hawa wanyama wanaokimbia hawa iheshimu awamu ya 5,sio wazalendo kabisa hawa.

dodge
 
Nianze kwa kusema kwamba andiko hili halilengi kuunga au kupinga uwepo wa mbuga ila linataka kuibua mjadala wa kimkakati kuhusu ulazima au umuhimu wa kuwepo kwa mbuga hii.

Binafsi nafikiri serikali ingepaswa kuwekeza rasilimali muda na rasilimali pesa katika kuboresha mbuga zilizopo,kuzitangaza na kuweka mazingira mazuri kwa wageni na wenyeji kuzitembelea badala ya kuhangaika kupeleka wanyama kule.

Serikali inagalie namna ya kushusha gharama za kodi kwenye biashara ya utalii hasa direct taxes kwani zinaumiza sana biashara ya utalii kwa sasa.

Viwango vya kodi vimefanya kuwe na ukame wa watalii hasa ukizingatia kwamba baadhi ya kodi hazina maana yoyte ile katika sekta husika.

Niwasahuri wanasiasa waangalie hili eneo la kodi kwani sekta ya utalii inaajiri vijana wengi sana na ikidorora basi ujue kwamba na uchumi unadorora na maisha yanazidi kubana

Je unafikiri viwango vya kodi kwenye sekta ya utalii ni rafiki kwa kukuza utalii na kukuzamapato ya serikali?
Tutajie kwanza hizo Kodi ambazo umeziona hazina maana????
 
Ilikuwa njia ya kumpelekea rafiki yake Kagame. Simba, Twiga wote wameishia huko na katoa amri wapelekwe wengine.

Kwani angesema tu tunakuza ushirikiano kwa kuwapa wanyama nani angepinga
Kama wale Tausi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom