Je Mbuga ya Burigi Chato ina umuhimu wowote au ni Mbwembwe tu?

Hili swala hili linahitaji mjadala mpana,kwa nini wanyama wakimbilie nchi jirani? na wahusika wanazidi kuwasomba wengine waendelee kukumbilia huko?
Hawa wanyama wanaokimbia hawa iheshimu awamu ya 5,sio wazalendo kabisa hawa.

dodge
 
Tutajie kwanza hizo Kodi ambazo umeziona hazina maana????
 
Ilikuwa njia ya kumpelekea rafiki yake Kagame. Simba, Twiga wote wameishia huko na katoa amri wapelekwe wengine.

Kwani angesema tu tunakuza ushirikiano kwa kuwapa wanyama nani angepinga
Kama wale Tausi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…