johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Duh, kizungumkuti.Hukumsikia Jaffo akisema haya yalifanyika baada ya bunge kuvunjwa?
Au umewasahau waliobakia ofisini hadi alipoapishwa jiwe?
Mtoa mada hajasema inakuwa halali,kama mbunge wa upinzani alipaswa kufichua huu ufisadi.Kwani akibariki yeye ndiyo inakuwa halali?
Kazi ya kufichua siyo ya upinzani tu . Hata huyo msukuma anayelalamika leo alikuwa mbunge huenda ilipita tu kwenye kamati ya fedha.Mtoa mada hajasema inakuwa halali,kama mbunge wa upinzani alipaswa kufichua huu ufisadi.
Uko sawa, sio upinzani pekee,ila ingeleta nguvu kama upinzani wangefichua.Kazi ya kufichua siyo ya upinzani tu . Hata huyo msukuma anayelalamika leo alikuwa mbunge huenda ilipita tu kwenye kamati ya fedha.
1.5trion ndiyo shidaRais Magufuli ametumia busara kubwa kwa hili, na ameliacha libaki fundisho kwa watendaji wa serikali. Kwenye hayo manunuzi inawezekana kwamba taratibu zipo na zilifuatwa lakini viongozi hawakujiongeza kwanini gari la mil 460, hii ilikua ni muhimu....
Ingekua issue ya uwajibishwaji wengi wangewajibika kama DED mwenyewe