Je, Mbunge mstaafu Upendo Peneza wa CHADEMA alibariki manunuzi ya gari ya DED kwa TZS 460 milioni?

Je, Mbunge mstaafu Upendo Peneza wa CHADEMA alibariki manunuzi ya gari ya DED kwa TZS 460 milioni?

Binafsi, tokea nilipoona kwa mara ya kwanza hili saga, kilichokuja kwenye tafakuri yangu ni kuwa,

mkurugenzi alileta unaa kwenye zoezi la uchaguzi

Yaani hakuwa tayari kutangaza aliyeshindwa kama mshindi, ndiyo maana sooon baada ya uchaguzi, wamemla kichwa.

Ni mawazo ya dhahania kutoka kwa mwanafalsafa wa kijiji.
 
Magufuli mwizi anamjuwa mwizi mwenzake arudishe 1.5 trilion kwanza
 
Msingizie binti wa watu; huo uchafu ni wenu kama kawaida yenu.
 
Boniface Jacob ndiye aliyejenga flyover ya ubungo? Maendeleo hayana chama.
 
Duh. mkuu sasa umeamua kuwa sadist kabisa? Baada ya kumnyang’anya Upendo ushindi na kumsweka lokapu sasa unamtwisha na zigo la VX la DED kabisa! Eti kwa nini “hakupinga” kama kawaida yao!

Hapa hata Paskali anaweza kulia kabisa kwa uonezi huu. Kweli duniani hakuna haki.
 
Rais Magufuli ametumia busara kubwa kwa hili, na ameliacha libaki fundisho kwa watendaji wa serikali. Kwenye hayo manunuzi inawezekana kwamba taratibu zipo na zilifuatwa lakini viongozi hawakujiongeza kwanini gari la mil 460, hii ilikua ni muhimu....

Ingekua issue ya uwajibishwaji wengi wangewajibika kama DED mwenyewe
Tatizo they're reading different pages.Kuidhinisha shilling million 460 sio kwa bahati mbaya. Matumizi mabaya yanazungumzwa kisiasa lakini hawajapiga marufuku manunuzi.

Ni kama wanajitekenya, Mwl. Nyerere akisafiri na Landover 109 kwenye barabara za vumbi na mashimo,lakini hawa wanadai V8 kwenye carpet roads za rami.
 
Duh. mkuu sasa umeamua kuwa sadist kabisa? Baada ya kumnyang’anya Upendo ushindi na kumsweka lokapu sasa unamtwisha na zigo la VX la DED kabisa! Eti kwa nini “hakupinga” kama kawaida yao!

Hapa hata Paskali anaweza kulia kabisa kwa uonezi huu. Kweli duniani hakuna haki.
Hahahaaaa..... Nimeuliza tu bwashee!
 
Kama Msukuma tu alijibiwa kuwa "Na bado linakuja lingine" huyo Peneza angezuia nini unadhani?
 
Rais Magufuli ametumia busara kubwa kwa hili, na ameliacha libaki fundisho kwa watendaji wa serikali. Kwenye hayo manunuzi inawezekana kwamba taratibu zipo na zilifuatwa lakini viongozi hawakujiongeza kwanini gari la mil 460, hii ilikua ni muhimu....

Ingekua issue ya uwajibishwaji wengi wangewajibika kama DED mwenyewe
Mkuu haya mambo ya busara haya paswi kuchwa bila sheria, swala ni je alitakiwa anunue la bei gani?
 
Kuanza kutaja mambo ya Ofisi ya Waziri Mkuu sijui GPSA aliharibu…Hili ndio kosa lake na ndio maana katumbuliwa

Ki Siasa, ukikurupuswa kwa tuhuma zozote hupaswi kujitetea kwa kutaja Mabosi wako

Ukifanya hivyo 'wanakutobolea boya' uzame peke yako

Yeye alipaswa kuanza kutaja taja Ilani ya 2020-2025 akionesha namna alivyojipanga kutekeleza,

angetaja juhudi za Mh.Rais kuondoa changamoto za Halmashauri, angetaja fedha za Maendeleo zilizoletwa na Serikal huku akitaja zimeletwa na Mh.Rais ( unataja majina yake yote matatu na serikal ya awamu ya ngapi anaongoza)

Yeye kajifanya kuleta facts za darasani,

Asingejibu zile hoja za Msukuma kwa style aliyoletewa, hii tunafundishwa kwny Political science, kujibu swali kwa kumtoa mleta swali kwmy reli na kumgeuza yeye ndio ajibu maswali bila ya kujijua

DED allishatangaza hadharani Ofisi ya Waziri mkuu iliidhinisha.
 
Mtoa mada hajasema inakuwa halali,kama mbunge wa upinzani alipaswa kufichua huu ufisadi.
Hata akifichua utasikia wapi wakati viongozi wa vyama pinzani habari zao haziandikwi kwenye hivyo vyombo vya habari vya maccm?
 
Back
Top Bottom