Mara nyingi binadamu anaongea ya moyoni wakati wa utani, akiwa ana hasira, amelewa au akiwa na furaha sana.
Hivi karibuni kuna sentensi tata imetoka kwa mkuu akisema mbwa mpumbavu anabwekea maendeleo yeti. Bila kumtaja jina, watu wengi wanabaki wanajiuliza, ni nani? Wengi tunadhani ni TAL. Ukweli anaujua mnenaji.
Ila leo hii mtu anayedhaniwa kuwa aliitwa mbwa mpumbavu, leo kaitwa Simba tena simba wa kizimkazi.
Je, ni katika kujaribu kumsafisha mbwa mpumbavu?
Je, ni kweli TAL ni simba na anastahili kuitwa hivyo?
Je, ni katika harakati za kumsogezea samaki chambo ili akamatike kiurahisi?
Mimi sijui ila mnenaji anajua.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu
- Kuelekea 2025 - Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu