jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Wanadundana lini?Mayweather 50-0, hili halina ubishi kwa mtu yeyote anayefuatilia masumbwi. Halafu kuna undercards Gervonta vs Fonseca na Tabiti Vs Cunningham (Must watch). Nyingine tano sidhani kama zitafana. Halafu usiku huohuo Cotto atazipiga na Camegai.