jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 Aug 25, 2017 #21 Kogut said: Mayweather 50-0, hili halina ubishi kwa mtu yeyote anayefuatilia masumbwi. Halafu kuna undercards Gervonta vs Fonseca na Tabiti Vs Cunningham (Must watch). Nyingine tano sidhani kama zitafana. Halafu usiku huohuo Cotto atazipiga na Camegai. Click to expand... Wanadundana lini?
Kogut said: Mayweather 50-0, hili halina ubishi kwa mtu yeyote anayefuatilia masumbwi. Halafu kuna undercards Gervonta vs Fonseca na Tabiti Vs Cunningham (Must watch). Nyingine tano sidhani kama zitafana. Halafu usiku huohuo Cotto atazipiga na Camegai. Click to expand... Wanadundana lini?
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Aug 25, 2017 #22 Huyo jamaa anasumbua mahakama, Floyd atampiga round ya 7 au 8, ila jamaa hata kama akipigwa thamani yake itaongezeka
Huyo jamaa anasumbua mahakama, Floyd atampiga round ya 7 au 8, ila jamaa hata kama akipigwa thamani yake itaongezeka
K Kogut JF-Expert Member Joined May 12, 2017 Posts 413 Reaction score 542 Aug 25, 2017 #23 jogi said: Wanadundana lini? Click to expand... Kwa marekani jioni ya tar 26.8.17. Kwa ulaya ndondi zitaanza kuonyeshwa live saa nane usiku(27.8.17)-bongo land saa kumi alfajiri.
jogi said: Wanadundana lini? Click to expand... Kwa marekani jioni ya tar 26.8.17. Kwa ulaya ndondi zitaanza kuonyeshwa live saa nane usiku(27.8.17)-bongo land saa kumi alfajiri.