Je, mchezaji gani ameupiga mwingi 2023 kati ya hawa piga kura yako?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka kwenye hili jukwaa la jamii sports tunaangazia wachezaji waliofanya vizuri kwenye Ligue ya NBC premier league.

Hii ni list ya miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri (tentative suggestions)

1. Ngoma... Simba sc
2. Feisal ... Azam
3. Pacome ... Yanga
4. Waziri junior....kmc
5. Bacca .......Yanga
6. Baleke..... Simba
7. Kipre junior... Azam
8. Onana ..... Simba
9. Aziz ki.......Yanga
10. Kibu mkandaji.. Simba sc
11. Diarra Yanga sc
NB: yupi amekuwa most favorite player wako mwaka 2023.....pia unaweza ongeza list yako

Matokeo yatakuja baadaye kulingana na kura.
 
Ngoma na onana hawatakiwi hapo....
 
Pacome yupo vizuri sana
Anafuata azizi k
Onana
Kibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…