Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio chaguo langu sasa 😁Kwa kintribusheni Gani Kwa timu[emoji23]
dj nn 🎶Mkorofi wewe 🤣
Ongeza mdundiko..dj nn 🎶
🙌🙌Ongeza mdundiko..
Okay [emoji106][emoji106]LIST ilitakiwa iwe hivi kwa mujibu wa swali lako. 1.kibu 2.fei 3.waziri jr 4.bacca 5.baleke 6.kipre jr 7.aziz ki 8.diarra
hawa akina pacome,onana,ngoma ungewaandalia swali lao, maana hao nane wamepambana atleast nusu mwaka tumewaona uwezo wao kama baleke sasa ukiwachanganya na watu waliokuja mwez sjui wa 8 ndo et awe mchezaj bora wa mwaka mzima kweli yan mtu aliepambana toka tarehe 1/1/2023 hadi sasa uje umlinganishe na mtu aliyekuta watu wapo kwenye mapambano
Uzi Ufungwe... Umemaliza kila kituAziz Ki, Pacome, Max Nzengeli, Khalid Aucho, Kouassi Yao
Na mimi nipo hapo hapo mkuu.Aziz Ki, Pacome, Max Nzengeli, Khalid Aucho, Kouassi Yao
STEPHEN AZIZ KI vs KAGERA SUGAR FC