Je, mchezaji wa prison kutukana kwenye media ni sahihi?

Leo nimebahatika kusikiliza maojiano kati ya gift macha na benjamini wa prison (captain) kuna tusi amelitaja natumaini sheria na taratibu zitafuatwa nawasilisha wana jamvi
Tutajuaje kama ni Tusi wakati hujalitaja?
 
Leo nimebahatika kusikiliza maojiano kati ya gift macha na benjamini wa prison (captain) kuna tusi amelitaja natumaini sheria na taratibu zitafuatwa nawasilisha wana jamvi
Mimi namlaumu Gift, kuna wachezaji wengine wasio na mihemko ambao wangeweza kutoa maoni na kusilisha malalamiko kama yapo kwa lugha ya kimichezo na si hamaki na hasira kama huyu.
 
Kila mmoja anakosa ,mdomo umeteleza wa mchezaji ,refa macho yanaukungu hajaona faulo
 
Tuanze na jina la mtangazaji, mbona kama haliendani na jinsia yake
 
Mimi namlaumu Gift, kuna wachezaji wengine wasio na mihemko ambao wangeweza kutoa maoni na kusilisha malalamiko kama yapo kwa lugha ya kimichezo na si hamaki na hasira kama huyu.
Captain ndiyo msemaji wa club kwenye mchezo husika baada ya mchezo
 
Back
Top Bottom