SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Una maana ni parachichi?Tuanze na jina la mtangazaji, mbona kama haliendani na jinsia yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana ni parachichi?Tuanze na jina la mtangazaji, mbona kama haliendani na jinsia yake
we umesoma kwenye ukurasa wa manara hajj ukaona kuna mtu kasema huyu captain katukana. basi wewe kukurukakara ukakimbilia uku kuja kuanzsha uzi. bure kabisaLeo nimebahatika kusikiliza maojiano kati ya gift macha na benjamini wa prison (captain) kuna tusi amelitaja natumaini sheria na taratibu zitafuatwa nawasilisha wana jamvi
Weka clip hiyoLeo nimebahatika kusikiliza maojiano kati ya gift macha na benjamini wa prison (captain) kuna tusi amelitaja natumaini sheria na taratibu zitafuatwa nawasilisha wana jamvi
Kama prisons ingeshinda hayo maneno tusinge yasikia, kupoteza mechi ni kitu ingine bhanaMimi nilisikia milioni 40 kwenye video hii hebu na wewe weka hilo tusi [emoji117]View attachment 1769360