Je, mchezaji wa prison kutukana kwenye media ni sahihi?

Hajatukana popote acha kuwaza kwa kupitia tundu jeusi.Ye kataja milion 40 tu basi.
 
Leo nimebahatika kusikiliza maojiano kati ya gift macha na benjamini wa prison (captain) kuna tusi amelitaja natumaini sheria na taratibu zitafuatwa nawasilisha wana jamvi
we umesoma kwenye ukurasa wa manara hajj ukaona kuna mtu kasema huyu captain katukana. basi wewe kukurukakara ukakimbilia uku kuja kuanzsha uzi. bure kabisa
 
Yanga kawabeba sana refa mpaka Prison wakachukia.Kumbuka penati ya wazi walionyimwa refa anadai haoni.
 
Weka video nime angalia YouTube hakuna tusi.
 
Leo nimebahatika kusikiliza maojiano kati ya gift macha na benjamini wa prison (captain) kuna tusi amelitaja natumaini sheria na taratibu zitafuatwa nawasilisha wana jamvi
Weka clip hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…