Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
 
Hivi kinachowafanya wanawake wawe na vidonda vya tumbo ni nin?? Ni stress?? Kama ni Stress hapana maana wanaume tuna stress nyingi kuzidi wanawake.

Katika wanawake watano, watatu wana vidonda vya tumbo
 
Dawa ya vidonda vya tumbo ni kunywa maji mengi saa moja kabla ya muda wa chakula hakuna chakula kitakusumbua shida kubwa Wanawake huwa hawapendi kunywa maji
 
Back
Top Bottom