Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

Kwa wenye vidonda vya tumbo watumie maharage mabichi, coz ganda la nje la harage haliwi gumu na hivyo chakula hakitumii kiasi kikubwa cha kemikali kuyeyusha chakula,
Aliniambia Dr wangu
 
Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
Kwa Nini unywe mcuzi wa MMAHARAGE CHANDE.... Kunywa hata wa January Makamba....
 
Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi
Mwambie aache kula chakula chochoche kinacholeta shida tumboni. Aidha asile matunda jamii ya machungwa, asinywe kinywaji chochote kilichosindikwa kiwandani mfano soda, asile jojo, pipi, pombe, aache kula dagaa, asile karanga za kutafuna, aache sukari nyingi, kahawa, na mafuta mengi,mchaichai, tangawizi, asali, aepuke vyakula vya kukaanga kwa wingi, achukue tahadhali anapokula parachichi na ndizi mbivu, dawa zifuatazo asitumie bila kumuona daktari wa endoscopy yaani ebufrofen, diclofenac, diclopar, na Asprin.
 
Back
Top Bottom