Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Sijui ni niniHivi kinachiwafanya wanawake wawe na vidonda vya tumbo ni nin?? Ni stress?? Kama ni Stress hapana maana wanaume tuna stress nyingi kuzidi wanawake.
Katika wanawake watano, watatu wana vidonda vya tumbo
Sema kwa ninavojua, maharage hayana shida kwasababu yana fibres nyingi.Sijui ni nini
Kwahiyo mchuzi wa maharage unashidaMchuzi wa nyama,samaki,njegele, mchuzi plain au mboga za majani havina shida sio lazima maharage!
Mbona wengi wanasema yanashidaSema kwa ninavojua, maharage hayana shida kwasababu yana fibres nyingi.
Ebu soma hapa;
Foods to Eat and Avoid With a Peptic Ulcer
Hao "wengi" unaowasemea wana elimu na vidonda vya tumbo?? Au ndo yale mambo ya "nilisikia"Mbona wengi wanasema yanashida
Mimi wife akila maharage vinamuuma kesho yakeHao "wengi" unaowasemea wana elimu na vidonda vya tumbo?? Au ndo yale mambo ya "nilisikia"
Sijui Kwa kweli, lakini naonaga wengi mchuzi wa maharage wanakula! Kama anapenda maharage mnunulie Yale meupe hayana gesi!!Kwahiyo mchuzi wa maharage unashida
Bac asitumieMimi wife akila maharage vinamuuma kesho yake
Mimi pia nikila maharage huwa vinanisumbua.Mimi wife akila maharage vinamuuma kesho yake
Yanauzwa Bei ganiSijui Kwa kweli, lakini naonaga wengi mchuzi wa maharage wanakula! Kama anapenda maharage mnunulie Yale meupe hayana gesi!!
sijui ni nini haswaHivi kinachowafanya wanawake wawe na vidonda vya tumbo ni nin?? Ni stress?? Kama ni Stress hapana maana wanaume tuna stress nyingi kuzidi wanawake.
Katika wanawake watano, watatu wana vidonda vya tumbo
DuuhMimi pia nikila maharage huwa vinanisumbua.
Akubali tu matokeo atafute mboga nyingine kama anayapenda sana... au ajaribu huo mchuzi aone kwanza.Duuh
Poa poaAkubali tu matokeo atafute mboga nyingine kama anayapenda sana... au ajaribu huo mchuzi aone kwanza.
Alaf cha kushangaza wao ndo wana increased protection kweny matumbo yao zaidi yetusijui ni nini haswa
Basi ngoja nimuambie wifeDawa ya vidonda vya tumbo ni kunywa maji mengi saa moja kabla ya muda wa chakula hakuna chakula kitakusumbua shida kubwa Wanawake huwa hawapendi kunywa maji