Je Mdude Nyagali ndo basi tena? Ishakubalika kuwa ameuawa?

Je Mdude Nyagali ndo basi tena? Ishakubalika kuwa ameuawa?

Aiseeeeee..... Hii nchi. Hatari sana. Mi nitakuwepo kwa siku 5 kabla sijaondoka kurudi huko Duniani.

Suala la Mdude Nyagali ndo lishaisha sasa?
No regrets kwa kupotea kwa Mdude_Nyagali !! Tanzania kwenye mitandao pamekuwa mahali pema pa kuishi baada ya kupotezwa kwa huyu hayawani
 
Back
Top Bottom