Je mechi za ligi kuu ya NBC zinapangwa?

Kuna harufu ya upangaji wa matokeo ligi kuu ya NBC

Huyu aliwezaje kubet droo na kuweka peaa nyingi hivi? View attachment 3227170
Bila shaka hii ni kampuni ya paripesa

Paripesa wana watu wao ambao hutengeneza mikeka na kuweka pesa ndefu ambazo sio kweli ili kuvutia wengine wawe wanacopy mikeka kwa mtu huyo

Pia mikeka mingine mtu anaedit baada ya mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…