Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Kuna harufu ya upangaji wa matokeo ligi kuu ya NBC
Huyu aliwezaje kubet droo na kuweka peaa nyingi hivi?
Huyu aliwezaje kubet droo na kuweka peaa nyingi hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namshangaa huyu mmang'ati.. kuna stake akiwekewa hapa halafu ni lost ataona hakuna cha maana anachostaajabuYaani stake ya laki unasema pesa nyingi?
Watu wanastake milioni na inakuwa Lost halafu unashangaa laki ambayo hata mimi muuza kandoro naweza kuiwekaPesa ndogo Sana hii hii kwenye betting
Nimelia sana..Stake ya laki unafungua na uzi ? Wonders shall never end
Hii ni pesa nyingi gengeni kwa Mpemba au dukani kwa Mangi, siyo kwenye bettingKuna harufu ya upangaji wa matokeo ligi kuu ya NBC
Huyu aliwezaje kubet droo na kuweka peaa nyingi hivi? View attachment 3227170
Unamshauri atafute pesa au?Yaani stake ya laki unasema pesa nyingi?
Utakua na machozi ya karibu..Nimelia sana..
Wakati watu humu JF wanaweka 10m na zinapotea kila siku wala hawajali. JF laki ni kapesa kadogo.Yaani stake ya laki unasema pesa nyingi?
Bila shaka hii ni kampuni ya paripesaKuna harufu ya upangaji wa matokeo ligi kuu ya NBC
Huyu aliwezaje kubet droo na kuweka peaa nyingi hivi? View attachment 3227170
Huu aliupost mapemaBila shaka hii ni kampuni ya paripesa
Paripesa wana watu wao ambao hutengeneza mikeka na kuweka pesa ndefu ambazo sio kweli ili kuvutia wengine wawe wanacopy mikeka kwa mtu huyo
Pia mikeka mingine mtu anaedit baada ya mechi
**** la mamkoNamshangaa huyu mmang'ati.. kuna stake akiwekewa hapa halafu ni lost ataona hakuna cha maana anachostaajabu
Tuoneshe mkeka wako wa laki ulioweka droo kiazi weweStake ya laki unafungua na uzi ? Wonders shall never end
Sikatai ila ni nadra sana kuweka drooPesa ndogo Sana hii hii kwenye betting