Je Media inatuambia ukweli au inatuamulia tukubali ukweli upi?

Je Media inatuambia ukweli au inatuamulia tukubali ukweli upi?

OMKEIT 93

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2026
Posts
294
Reaction score
442
Kama kamera inaonyesha upande mmoja tu wa tukio, tunajuaje upande ambao haukuonyeshwa?

Je, habari inaweza kuwa ya kweli lakini bado ikampotosha mtazamaji kwa kuacha baadhi ya ukweli?

Nani anaamua tukio gani liwe headline na lipi lisitajwe kabisa?
file_00000000993481f4ae750fa1f9a3cefa.png

Je, kurudia habari moja mara 100 kunaweza kutufanya tuamini jambo ni kubwa kuliko lilivyo?

Kama media mbili zikiripoti tukio moja kwa namna mbili tofauti, nani mwenye “ukweli”?

Na Je, tunafikiri kwa kutumia akili zetu, au wakati mwingine tunafikiri kwa kutumia picha na simulizi tulizopewa?”
 
Ukiona media mbili zinabishana kuhusu tukio moja, ujue zote zinafanya maigizo ya good cop, bad cop, kengo ni kukufanya uchague upande badala ya kuutafuta ukweli halisi.
 
Back
Top Bottom