Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa.
Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na Makamba? Je walishawahi kutofautiana? Maana angekuwa mtu mwema mpaka leo hii angekuwa anadunda tu akila pension yake. Lakini maskini.... Ndo hivyo hatunaye tena mzee wa goal dk za lala salama.
Natoa ushauri watu wenye uhakika flani waende mwona Makamba Yusufu. Huyu anajua watu wa kutakiwa kuishi kwa sababu ya wema wao kwake na ambao si wema watajiju.