Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #21
Hamna.... Watu wema huwa hawafi kwa mujibu wa makambaWakati wake umefika. Na wewe utakufa muda wako ukifika na mke wako ataolewa na mtu mwingine na maisha yataendelea kama kawaida.