Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Haya!Nipo hapa kusoma comment
Wote hao walikuwa na viburi kila mmoja alikuwa akijiona ni maalum na wa maana zaidi ya mwngine. BM oalikuwa hawezi kupiga magoti kwa yeyote hata kama amemzidi elimu na cheo labda wale wenye mali tu. Halafu tunaambia alikuwa anaishi nyumba ya kawaida tu. Mikocheni B mtaa wa Daima, TPDC kando mwa barabara inayoelekea kule kulikuwa na nyumba za mawaziri ni nyumba ya kawaida?Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa.
Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na Makamba? Je walishawahi kutofautiana? Maana angekuwa mtu mwema mpaka leo hii angekuwa anadunda tu akila pension yake. Lakini maskini.... Ndo hivyo hatunaye tena mzee wa goal dk za lala salama.
Natoa ushauri watu wenye uhakika flani waende mwona Makamba Yusufu. Huyu anajua watu wa kutakiwa kuishi kwa sababu ya wema wao kwake na ambao si wema watajiju.
Alitakiwa kuishi wapi mkuu?Wote hao walikuwa na viburi kila mmoja alikuwa akijiona ni maalum na wa maana zaidi ya mwngine. BM oalikuwa hawezi kupiga magoti kwa yeyote hata kama amemzidi elimu na cheo labda wale wenye mali tu. Halafu tunaambia alikuwa anaishi nyumba ya kawaida tu. Mikocheni B mtaa wa Daima, TPDC kando mwa barabara inayoelekea kule kulikuwa na nyumba za mawaziri ni nyumba ya kawaida?
Matajiri na wastaafu wengi wanaishi hapo hapana tofauti na Masaki kasoro barabara za lami kwenye mitaa tu lakini maisha yao ni juu kama Masaki, Msasani, Oysterbay, Mbezi beach, Ununio, Mbweni, Salasala au Kigamboni mji mwema.
Kwan unadhani huyo Membe hana nyumba huko masakii?? Aaaah weeeWote hao walikuwa na viburi kila mmoja alikuwa akijiona ni maalum na wa maana zaidi ya mwngine. BM oalikuwa hawezi kupiga magoti kwa yeyote hata kama amemzidi elimu na cheo labda wale wenye mali tu. Halafu tunaambia alikuwa anaishi nyumba ya kawaida tu. Mikocheni B mtaa wa Daima, TPDC kando mwa barabara inayoelekea kule kulikuwa na nyumba za mawaziri ni nyumba ya kawaida?
Matajiri na wastaafu wengi wanaishi hapo hapana tofauti na Masaki kasoro barabara za lami kwenye mitaa tu lakini maisha yao ni juu kama Masaki, Msasani, Oysterbay, Mbezi beach, Ununio, Mbweni, Salasala au Kigamboni mji mwema.
Sawa yohana mbatizaji 😊Haya!
Sisi ngoja tuwai viwanja KISEMVULE na BAGAMOYOKwan unadhani huyo Membe hana nyumba huko masakii?? Aaaah weee
Spin doctors kazi imeanzaHili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa.
Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na Makamba? Je walishawahi kutofautiana? Maana angekuwa mtu mwema mpaka leo hii angekuwa anadunda tu akila pension yake. Lakini maskini.... Ndo hivyo hatunaye tena mzee wa goal dk za lala salama.
Natoa ushauri watu wenye uhakika flani waende mwona Makamba Yusufu. Huyu anajua watu wa kutakiwa kuishi kwa sababu ya wema wao kwake na ambao si wema watajiju.
Nyie ndio mlitakiwa mueleza alitakiwa awe na nyumba ya aina gani maana mnamkuza sana kana kwamba ni 'exceptional ' mtaa anaoishi ni wa vigogo na inawekana hapo alipo alinunua toka serikalini maana eneo hilo lilikuwa la TPDC (Shirika la Maendeleo ya Petroli la Tanzania)) kabla wafanyakazi wa ngazi za juu na wafanyabiashara kulipora kiulaghai kisha kuanza kujenga makazi. Ni mtaa wenye hadhi ya Masaki ndio maana hata makazi ya mawaziri yalijengwa eneo inalopakana nalo la Mikocheni B viwandaniAlitakiwa kuishi wapi mkuu?
Mtu mwenye wasifu kama wake?
Anazo nyingi tu huko Mikocheni A, Msasani, Kigamboni na Mbweni zipo lukukiKwan unadhani huyo Membe hana nyumba huko masakii?? Aaaah weee
Mimi na nani?Nyie ndio mlitakiwa mueleza alitakiwa awe na nyumba ya aina gani maana mnamkuza sana kana kwamba ni 'exceptional ' mtaa anaoishi ni wa vigogo na inawekana hapo alipo alinunua toka serikalini maana eneo hilo lilikuwa la TPDC (Shirika la Maendeleo ya Petroli la Tanzania)) kabla wafanyakazi wa ngazi za juu na wafanyabiashara kulipora kiulaghai kisha kuanza kujenga makazi. Ni mtaa wenye hadhi ya Masaki ndio maana hata makazi ya mawaziri yalijengwa eneo inalopakana nalo la Mikocheni B viwandani
Achana na post chonganishi. Walikuwa wanaelewana. Hawakuwa na shida yoyote baina yao.Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa.
Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na Makamba? Je walishawahi kutofautiana? Maana angekuwa mtu mwema mpaka leo hii angekuwa anadunda tu akila pension yake. Lakini maskini.... Ndo hivyo hatunaye tena mzee wa goal dk za lala salama.
Natoa ushauri watu wenye uhakika flani waende mwona Makamba Yusufu. Huyu anajua watu wa kutakiwa kuishi kwa sababu ya wema wao kwake na ambao si wema watajiju.
Sasa kwanini kafa?Achana na post chonganishi. Walikuwa wanaelewana. Hawakuwa na shida yoyote baina yao.
Wakati wake umefika. Na wewe utakufa muda wako ukifika na mke wako ataolewa na mtu mwingine na maisha yataendelea kama kawaida.Sasa kwanini kafa?
Swali la Msingi sana... Akikujibu nitagSasa kwanini kafa?