Je, Membe hakuwa na mahusiano mazuri na Yusufu Makamba? Alikosea wapi?

Hivi mbona una roho kirundi!?? Magufuli alkw ndg yako!??? Maana naona kama mnafanana roho zenu,,,chokochoko ndo chakula chenu
 
Hivi mbona una roho kirundi!?? Magufuli alkw ndg yako!??? Maana naona kama mnafanana roho zenu,,,chokochoko ndo chakula chenu
Mbona umekuja umeshikilia kanga na vidole juu... Shida nini? Tulia kwanza. Halafu mwambie mtu akuandikie tukuelewe.
 
Hamna.... Watu wema huwa hawafi kwa mujibu wa makamba
Elewa kiswahili,,,ukiambiwa wazuri hawafi siyo kwamba roho yake haiachani na mwili,,,maana yake ni kwamba wakifa matendo yao mema hubaki katika jamii,hii ndyo tafsiri sahihi hivi kwa akili yako makamba na uzee wake hajui kwamba kila nafsi itaonja mauti!? Warundi mna shida sana,,kumbuka nyinyi ndy mlioanzisha hizi siasa za chuki nchini,,,system ilijisahau wahutu mkashika madaraka
 
Hakuna haja ya kushangilia kifo au kumuombea mtu kifo ila wote walioshangilia kifo cha jiwe malipo yenu ni hapa hapa.
 
Duh hizi story zinatokaga na wapi aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna haja ya kushangilia kifo au kumuombea mtu kifo ila wote walioshangilia kifo cha jiwe malipo yenu ni hapa hapa.
Nawewe ambae hukushangilia ulikata tiketi ya kuishi milele!? Wtz wapumbavu sana watoto wadogo miaka 2,3----- wanakufa sembuse vikongwe Magufuli na Membe!
 
Ungekunywa maji kwanza utulie akili. Halafu umwambie mtu akuandikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…