Je meno yametoboka / kuoza usisubiri wahi Upate Suluhisho la kudumu.

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
196
Reaction score
254
🦷 Huduma ya Kuziba Meno Yaliyotoboka/Kuoza

Kuziba jino (Dental Filling) ni matibabu yanayolenga kuondoa sehemu ya jino iliyooza na kujaza nafasi hiyo kwa material maalum ili kurejesha umbo, kazi na uimara wa jino.

Faida za kuziba meno yaliyotoboka/kuoza:

1. Huzuia kuoza kwa jino kuendelea kusambaa
2. Hurejesha uwezo wa jino kutafuna vizuri
3. Hupunguza maumivu na usumbufu unaoweza kusababishwa na tundu la jino
4. Hulinda sehemu ya ndani ya jino dhidi ya bakteria.
5. Huboresha mwonekano wa jino, hasa inapokuwa filling yenye rangi inayofanana na jino.
6. Husaidia kuzuia hitaji la matibabu makubwa zaidi kama
Root Canal Treatment (RCT) au kung’oa jino, ikiwa tatizo limegundulika mapema.

Usisubiri jino lianze kuuma. Tundu dogo linaweza kuendelea kuwa kubwa bila maumivu makali mwanzoni. Fanya uchunguzi wa meno mapema ili kujua kama jino linahitaji kuzibwa.

Kwa Miami Dental Clinic, unaweza kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya meno yaliyotoboka/kuoza.

📍Dar es salaam - Tanzania

weka miadi yako sasa 📞0658 950 085
 
Attachments

  • F6175A12-8985-42CF-9096-B8A431E85E30.jpeg
    F6175A12-8985-42CF-9096-B8A431E85E30.jpeg
    85.3 KB · Views: 11
  • 1AA1FD88-8AEA-461D-BE1E-1E9DA9CD1A16.jpeg
    1AA1FD88-8AEA-461D-BE1E-1E9DA9CD1A16.jpeg
    86.8 KB · Views: 12
  • 1AA1FD88-8AEA-461D-BE1E-1E9DA9CD1A16.jpeg
    1AA1FD88-8AEA-461D-BE1E-1E9DA9CD1A16.jpeg
    86.8 KB · Views: 10
  • F6175A12-8985-42CF-9096-B8A431E85E30.jpeg
    F6175A12-8985-42CF-9096-B8A431E85E30.jpeg
    85.3 KB · Views: 11
Mimi yangu yapo kama hayo yametoboka alafu yanapukutika yanabaki mapengo yaani naweza kulala asubuhi jino limen'goka lenyewe au naweza kula nyama jino likatoka bila damu wala maumivu😭😭
 
🦷 Huduma ya Kuziba Meno Yaliyotoboka/Kuoza

Kuziba jino (Dental Filling) ni matibabu yanayolenga kuondoa sehemu ya jino iliyooza na kujaza nafasi hiyo kwa material maalum ili kurejesha umbo, kazi na uimara wa jino.

Faida za kuziba meno yaliyotoboka/kuoza:

1. Huzuia kuoza kwa jino kuendelea kusambaa
2. Hurejesha uwezo wa jino kutafuna vizuri
3. Hupunguza maumivu na usumbufu unaoweza kusababishwa na tundu la jino
4. Hulinda sehemu ya ndani ya jino dhidi ya bakteria.
5. Huboresha mwonekano wa jino, hasa inapokuwa filling yenye rangi inayofanana na jino.
6. Husaidia kuzuia hitaji la matibabu makubwa zaidi kama
Root Canal Treatment (RCT) au kung’oa jino, ikiwa tatizo limegundulika mapema.

Usisubiri jino lianze kuuma. Tundu dogo linaweza kuendelea kuwa kubwa bila maumivu makali mwanzoni. Fanya uchunguzi wa meno mapema ili kujua kama jino linahitaji kuzibwa.

Kwa Miami Dental Clinic, unaweza kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya meno yaliyotoboka/kuoza.

📍Dar es salaam - Tanzania

weka miadi yako sasa 📞0658 950 085
Bima inatumika?
 
Tunangoja Majibu Yao NHIF Inatumika
Bei Zenu Upande Wa Cash Ni Rafiki
 
Back
Top Bottom