Niliona ndege Yao ikiungua hewani...Looong time ago!Tukubali tu kua Jay Key na Roast Tamu wametuoa kuanzia sisi vibwengo,deep state,makachero na wazee.Na hakuna kitu tunaeza wafanya
Huyu jamaa sijui Kwa nini watangulizi wake hawakung'amua mapema hatari yake wakamdhibiti kabla hajakita mizizi, ni mtu hatari na sioni wa kumdhibiti Kwa sasa.JK akiwepo itakuwa ngumu, huyu kivuruge ni kirusi kibaya sana .
JK ni mtu mmoja.JK akiwepo itakuwa ngumu, huyu kivuruge ni kirusi kibaya sana .
Wewe ni miongoni mwa Team yakeNiliona ndege Yao ikiungua hewani...Looong time ago!
Kampeni uzinduzi ni this weekKila jambo na wakati wake. Naamini Wazalendo wa kweli wa Taifa hili bado wapo na watashinda dhidi ya Mtandao. Wazalendo wangekuwa hawajajipanga na kusoma Wanamtandao kisawasawa Polepole na Gwajima tusingekuwa nao mpaka Leo maana jamaa Wana nguvu sana. Na haya tunayoyaona hadhalani Leo ilikuwa ni long term plan. Naamini Kwa sasa huenda mission Iko ukingoni na Mungu wa mbinguni ameruhusu.
Ni njia ipi hiyoI have tactical solution, but it is very aggressive and no one in all government departments expect that move.
Nikifanya it will trigger a point of no return and potentially some sort of civil war
Unataka nikuunge tuijenge nchi yetu?Wewe ni miongoni mwa Team yake
Wasiwasi wako, Nchi Iko imara hii bila hivyo amani isingekuwepo. Wazalendo wa nchi hii japo wamezingirwa Bado Mungu Yuko upande wao. Tutashinda!Ndo mana JF jukwaa la MMU litaendelea kukimbiza, zamani nikisoma kuhusu siasa nasikia bila JK nchi hii PAKA atapitisha watu wake.
Ikaja JPM kapita akaitwa mrundi, mara sio msukuma ila anajitambulisha msukuma, sahv unasikia ili nchi iwe na aman mpaka JK aondoke. Unajiuliza nchi haina shujaa, haina ngao, haina uelekeo.
Hatujui pa kushika.
Si kwa Team MsogaUnataka nikuunge tuijenge nchi yetu?
Basi kama kwakutumia tuache tusongeshe nchi mbele!Si kwa Team Msoga
Sponsor wa mtandao, the globalist, siyo walioshika mpini wa dunia kwa sasa.Hivi mbona sa100 ni muda sasa haonekani akisafiri katika zile nchi za wazungu nini kimetokea?
Yaani watu wawili wanapanga nani awe nani, halafu cdf sare zile zina maana sio kuwapigia saluti weziTukubali tu kua Jay Key na Roast Tamu wametuoa kuanzia sisi vibwengo,deep state,makachero na wazee.Na hakuna kitu tunaeza wafanya
Hadi tulipofikia hamna wazalendo, mzalendo wa kweli anakemea mambo hadharani, ila hapa tusubiri kudra za labana tu.Kila jambo na wakati wake. Naamini Wazalendo wa kweli wa Taifa hili bado wapo na watashinda dhidi ya Mtandao. Wazalendo wangekuwa hawajajipanga na kusoma Wanamtandao kisawasawa Polepole na Gwajima tusingekuwa nao mpaka Leo maana jamaa Wana nguvu sana. Na haya tunayoyaona hadhalani Leo ilikuwa ni long term plan. Naamini Kwa sasa huenda mission Iko ukingoni na Mungu wa mbinguni ameruhusu.