Je mfumo wa hewa una usalama hapa!

Je mfumo wa hewa una usalama hapa!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wana jf hofu yangu ni swala la mtu kupata makoozi tena mazito mara kwa mara! Swali langu kwani makoozi haya yanatoka wapi au yameingiliana na mfumo wa kamasi? Au kifua kimekufa hivyo kinaproduce dead cell? Kama ni tb hamna homa za usiku wala kukooa kwa presha isipokuwa ni hili swala la makoozi! Msaada wa mawazo wajumbe!
 
Back
Top Bottom