Bibi Mikopo
Senior Member
- May 15, 2015
- 180
- 35
Salaam Wadau,
Nimejiuliza tu. Kuna wanafunzi wengi wananufaika na mikopo inayotolewa na Serikali anbao wapo vyuo vikuu. Hili ni jambo jema sana. Lakini, mfumo wa sasa, ambao wanufaika wanasoma kozi yoyote na chuo chochote, ni sahihi kwa uendelevu (sustainability) wa fedha au maendeleo ya taifa?
Shukrani