Je, mganga anaweza kuwa pia mchawi?

Je, mganga anaweza kuwa pia mchawi?

Toofast

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
522
Reaction score
942
Nimekuwa nikijiuliza sana bila kupata majibu ninaomba msaada wenu kwa yeyote anayejua
 
Nimekuwa nikijiuliza sana bila kupata majibu ninaomba msaada wenu kwa yeyote anayejua

Wote ni hao hao.mpaka kujua kutibu ujue ni lazima afahamu kuharibu pia.
Warogaji huwa wanakwenda kwa waganga si kwa wachawi.
 
Ni kama maaskari wawili wa majeshi tofauti halafu mmoja mfyatua mabomu mwingine mtega mabomu.serikali na muasi
 
Nimekuwa nikijiuliza sana bila kupata majibu ninaomba msaada wenu kwa yeyote anayejua

Mkuu umeniwahi nilitaka kuuliza hili swali. Labda niongezee je waganga wote wanatumia nguvu za Giza? Ina maana kabla hazijaja dini za wageni. Waganga wote waliokuwa wanatibu, wanafanya matambiko kuondoa laana, kuomba mvua wote walikuwa wanamtumia shetani?
 
Nimekuwa nikijiuliza sana bila kupata majibu ninaomba msaada wenu kwa yeyote anayejua
Asilimia kubwa ya waganga ni wachawi na kuna ambao huwachawia watu ili waende kwao wakawatibu ni njia ya kuongeza kipato
 
Back
Top Bottom