Je, mgao wa maji ni wilaya ya Kinondoni na Ubungo?

Nilifikiri unaleta argument za maana kumbe ni pumba tu....
 
akili zimeingia kwey vumbi unajina umeandika cha maana
 
Aisee wazungu hawakukosea kutuita manyani.
Shame on us. Halafu wala hayajali wanaona sawa tu hawa mbwa.
 
Udsm matatizo ya maji ni miaka yote

Tangu lini mabibo hostel maji yakawa ya kutosha

Hapo mabibo pamefungwa matenki ya kutosha

Ni jukumu la viongozi wenu kufuatilia kujaza maji
 
Tank la 3000lts, unaumwa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…