Je, Miaka 100 ni muda mrefu kiasi gani?

Je, Miaka 100 ni muda mrefu kiasi gani?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari JF,

Baada ya uelekeo wa kubinafsishwa bandari yetu ya DSM, nimejaribu kuangalia kwa undani miaka 100 ni mingi kiasi gani.

1. Hivi unajua nchi tangu imepata uhuru na awamu zake sita zote hatujafikisha miaka 100?

2. Hivi unajua Baada ya Miaka 100 karibu binadamu wote tuliopo sasa hatutokuwepo?

3. Hivi unajua Baada ya miaka 100 wale wote walioshiriki kupitisha huu mkataba hawatokuwepo?

Miaka 100 mingi sana?​
 
Hoja ya kuwapa miaka 100 ni ipi?
 
Habari jf , baada ya uelekeo wa kubinafsishwa bandari yetu ya DSM ,Nimejaribu kuangalia kwa undani miaka 100 ni mingi kiasi gani .

1.Hivi unajua nchi tangu imepata uhuru na awamu zake sita zote hatujafikisha miaka 100 ?

2.Hivi unajua Baada ya Miaka 100 karibu binadamu wote tuliopo sasa hatutokuwepo ?

3.Hivi unajua Baada ya miaka 100 wale wote walioshiriki kupitisha huu mkataba hawatokuwepo ?

Miaka 100 mingi sana ?​
Tena unawapa waarabu seriously?
 
Back
Top Bottom