Habari jf , baada ya uelekeo wa kubinafsishwa bandari yetu ya DSM ,Nimejaribu kuangalia kwa undani miaka 100 ni mingi kiasi gani .
1.Hivi unajua nchi tangu imepata uhuru na awamu zake sita zote hatujafikisha miaka 100 ?
2.Hivi unajua Baada ya Miaka 100 karibu binadamu wote tuliopo sasa hatutokuwepo ?
3.Hivi unajua Baada ya miaka 100 wale wote walioshiriki kupitisha huu mkataba hawatokuwepo ?
Miaka 100 mingi sana ?