Je, michuano ya Mapinduzi kushirikisha timu za Taifa yameleta tija?

Je, michuano ya Mapinduzi kushirikisha timu za Taifa yameleta tija?

libeva

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
4,465
Reaction score
3,615
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, haya mashindano ya mpira huko visiwani maarufu kwa kombe la mapinduzi huko Zanzibar kushirikisha timu za mataifa mbalimbali kuliko mtindo wa zamani kushirikisha timu za ligi kuu za bara na visiwani ambapo tumeshuhudia wachezaji kadhaa wamekula mashavu kuja kucheza Bara je sasa hivi kwa muundo huu yana tija?

Je timu za bara zitapata vipaji kutoka timu ya Zanzibar?

Admini angalizo usiunganishe uzi huu tujue tunaenda mbele au tunarudi nyuma, wabara wameambulia patupu hata point hawana.

NB
Lengo letu licha ya ushirikiano wa bara na visiwani kuibua vipaji mbalimbali kutoka timu mbalimbali n.k lakini nahoji lengo la michuano hii kubadilika lilikuwa nini?

Admini

Nawasilisha
 
Nje ya mada Znz Vs Kenya mpira umesimama ngumi zimepigwa za kutosha
 
Back
Top Bottom